Kuitwa kwenye interview TRA

Kuitwa kwenye interview TRA

backer

Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
86
Reaction score
8
Ndugu wanajamii, jana nimeona hawa watu wa tra wakisema katika moja wa vyombo vya habari hapa nchini, kuwa wanatarajia kuajili watu kwa ajili ya makusanyo ya kodi za ndani! Swali ni je!? Zile nafasi walizotangaza mwezi wa saba walishaita watu walioziomba! Kama kuna mwenye habari hizo tufahamishane
 
kuajili = kuajiri
 
lakin si umeelewa? Au na ww ndo wale wale mnaoangalia makosa ya thread za watu badala ya kutoa majibu/taarifa kwa unavyofahamu!? Mtu akikuuliza swali as long as umeelewa jibu, hatupo hapa kuangalia semantics,syntax wala structure.
 
wakipindi hicho wameshaajiriwa wako kazini(walioitwa mwezi wa 7).apply kama unavigezo utapata nafasi.pamoja tunajenga taifa.
 
Sallam kwa member wote; mimi ni mpya katika jamii forum;
Nataka kujua wanataka watu wenye sifa zipi?
 
Back
Top Bottom