Ndugu wanajamii, jana nimeona hawa watu wa tra wakisema katika moja wa vyombo vya habari hapa nchini, kuwa wanatarajia kuajili watu kwa ajili ya makusanyo ya kodi za ndani! Swali ni je!? Zile nafasi walizotangaza mwezi wa saba walishaita watu walioziomba! Kama kuna mwenye habari hizo tufahamishane
kuajili = kuajiri