D delly Member Joined Mar 24, 2010 Posts 55 Reaction score 6 Jul 25, 2011 #1 watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa open kwa kila mtu? huyo dada anaitwa nancy
watu wengine bwana wanatuma emails za taarifa za interview kwa waombaji wa ajira wakati sio wahusika wa AAR HEALTHY Services. Hii inakuaje? inamana applications za hapa online documents zinakuwa open kwa kila mtu? huyo dada anaitwa nancy
muwaha JF-Expert Member Joined May 13, 2009 Posts 740 Reaction score 148 Jul 25, 2011 #2 Mkuu yapi yamekusibu,sijakuelewa! Umetapeliwa au umeombwa hongo?