Kuitwa kwenye usaili Muhimbili

Man United

Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
26
Reaction score
5
Ndugu zangu kuna mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi ya uhasibu chuo kikuu cha muhimbili,je kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili? kwani ni miezi imepita sasa.
 
mkuu mimi pia niliomba naona muda umepita sana,tena muhimbili na nssf zilifuatana naona wao wamechelewa sana ngoja tuwape tena muda.
 
Ndugu zangu kuna mdogo wangu aliomba nafasi ya kazi ya uhasibu chuo kikuu cha muhimbili,je kuna mtu ameshaitwa kwenye usaili? kwani ni miezi imepita sasa.

nimetumiwa sms kuwa ni tar 17 feb written sasa sijui ni kweli au la maana nimeconfirm kwa sms pia.
 
Mkuu yaani Interview ni tar 17 feb,ila binafsi sijaipata hiyo sms ngoja tusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…