Mfuko wa afya wa bima Nhif unawatangazia wale wote walioomba kazi Kama ifuatavyo ;
>wale wenye shahada ya kwanza tar 7/nov 2011
>diploma ya juu na kawaida tar 8 Nov
waombaji wenye vyet vya form 6&4 tar 9Nov.
Usaili utafanyika ukumbi wa baraza la maaskofu kurasin TEC kuanzia saa mbil asbh
limetolewa na
mkurugenz mkuu NHIF.
Source daily news.