Hio lonja mkuu sio ya kweli...kwasababu washaanza kozi hii wiki ya 2 inaenda ya 3 pia meseji za kulipoti kihangaiko huwa zinatumwa vikosini yaani jkt huko...labda ukiwa na mbanga mkubwa anakupa maelekezo jinsi ya kuripoti na sio kutumiwa meseji.
Hivi karibuni kumeibuka wimbi kubwa la matapeli kula pesa za watu kuwapeleka kihangaiko..yaani wanatuma meseji kwa watu tofauti tofauti ukinasa umeliwa kichwa.
Hivyo basi ukweli ni kwamba kihangaiko wako kwenye mkesha hii wiki ya pili inaenda ya tatu na kuruti kama wa 4 hivi washaaga dunia na washazikwa tayari.