Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo hicho ndo kimekukosessha usingizi?
Siku hizi wanapiga tuHahahaha, mkuu shukuru mungu uto hawakuoni wangekufua vibaya mno
Yanga wanatuaminisha wanawachezaji bora Africa waliowavunjia mikataba As vita ,Atletco de Luanda,Asec mimosa nkSaougne Yaokuba(Burkina faso)
Lamine Moro (Ghana)
Tuisila(DRC)
Mukoko(DRC)
Michael Sarpong(Ghana)
Carlinhos(Angola)
Shikhalo(Kenya)
Niyonzima(Rwanda)
Hapo wakuwatolea macho ni Shikhalo,Niyonzima kidogo Carlinho vingenevyo uwe umeamua tu kujitoa ufahamu.
Inaónyesha upeó wàko kwenyé sókaSimba wameitwa 5 hadi sasa
Miquissone, Msumbiji
Chama, Zambia
Bwalya, Zambia
Kahata, Kenya
Onyango, Kenya
Namungo 3 wameitwa Burundi
Azam pia wameitwa kadhaa
Ila Yanga hadi sasa 0
Yes indeed.Inaónyesha upeó wàko kwenyé sóka
Ndio umeandika utopolo ili kuthibitisha utopolo wenu[emoji23][emoji2187][emoji2187][emoji2187]Saougne Yaokuba(Burkina faso)
Lamine Moro (Ghana)
Tuisila(DRC)
Mukoko(DRC)
Michael Sarpong(Ghana)
Carlinhos(Angola)
Shikhalo(Kenya)
Niyonzima(Rwanda)
Hapo wakuwatolea macho ni Shikhalo,Niyonzima kidogo Carlinho vingenevyo uwe umeamua tu kujitoa ufahamu.
mi ni nani wakumbishia Aden Rage..?Ndio umeandika utopolo ili kuthibitisha utopolo wenu[emoji23][emoji2187][emoji2187][emoji2187]