Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

Tuliwaambia mapema tu.
Hakuna lolote, Yanga walicheza mchezo kikawaida sana kutokana na focus yao ni mechi ya klabu bingwa. Ngoja wakutane katika mchezo wa ligi kuu utapata majibu.

Jambo la pili Azam hukamia katika mechi za Simba na Yanga pekee, fuatilia matokeo yao dhidi ya timu za daraja la kati na kawaida wameshinda michezo miwili tu katika michezo mitano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…