Kujamba ni nini in english plz!

omba omba-borow borow

jamba(jamb-a)=jambazi(jamb-azi)

bandist(band a=jamba)!
 
Dah!nimejikuta nacheka sana kulingana na majibu ya wachangiaji.
 
Wa2 mnaojua tendo la kujamba in english tuambiane je kupolyuti(polute) ni sawa?
Ni to break the wind. harafu hiyo polute inatamkwa polut bila kuweka y. Ila nimecheka sana jinsi wadau walivojibu
 
jamba ile ya Mbrrrrrruu nni break the wind. ile ya phhhh yenye harufu ni polute the air.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…