chatu dume, nianze na swali la pili. kuna sababu ya kufanya haraka kiasi hicho? mwili wa mama ungependeza kupata mapumziko zaidi. lakini pia kuna suala la kulea mtoto wa miezi nane, ni shughuli nzito na involving. isitoshe mtoto anapaswa kunyonya kwa walau miaka 2, na ikiwezekana 3. usisahau kama mama ni mfanyakazi wa kuajiriwa anapata likizo ya uzazi kila baada ya miaka 3. unless kuna sababu ya maana kufanya hivyo, haishauriwi. ila kama inabidi basi hakuna tatizo (japokuwa mwili wa mama unaweza choka sana, uangalizi wa daktari unahitajika), na wazazi wakishirikiana kuhakikisha mtoto anapata lishe bora mambo yataenda tu
haya, unataka mtoto, na uroho huo sasa wa chakula kila saa,mweeh! katika kila mshindo unapakua hazina. mwili unahitaji kupumzika na kutengeneza mbegu zaidi kwa ajili ya matumizi ya baadae. isitoshe wakati wa mshindo wa kwanza zinatoka mbegu kiasi cha vijiko vya chai hadi 3. mishindo inayofuata kiasi kinaendelea kupungua. hivyo kwa mtu ambaye anapata ugumu wa kupata mimba, inashauriwa kupumzika siku moja kila baada ya majaribio. japokuwa siku ya jaribio unaweza kukomeshea,lol!