Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,925
Manispaa ya Morogoro eneo la mjini mzunguko (roundabout) ilipokuwa stand ya zamani zinapoanzia barabara za:
1. Boma Road
2. Korogwe Road
3. Old Dar es Salaam
4. Barabara iendayo Soko kuu la Kingalu na chuo cha Sokoine
Kuna mabango makubwa yamewekwa ndani ya mzunguko na hivyo kuwa kero kwa madereva kutoona kiendeleacho upande wa pili.
Universal traffic regulations hairuhusiwa ndani ya mzunguko kuwepo mabango au vitu vyenye kuzuia kuona uwazi kwa madereva na watu wanaopita kwa miguu.
Sheria zetu za usalama barabarani je zipo tofauti na universal traffic regulations?
PIA SOMA
- Kuhusu matukio mengi ya ajali za barabarani, ukiachana na uzembe wa madereva barabara zetu ni changamoto