Kuongeza wachezaji wa simba ndiyo walioleta uchuro!Timu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi.
Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu wala wachezaji leo wanajifanya ndio wenye timu!
Msipojirekebisha mtaishia kuwa Kichwa cha Mwendawazimu tu.
Hivi ni visingizio visivyo na msingi,kama Timu yenu imecheza hovyo mlitegemea nini?Timu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi.
Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu wala wachezaji leo wanajifanya ndio wenye timu!
Msipojirekebisha mtaishia kuwa Kichwa cha Mwendawazimu tu.
Kisa tumefungwa tu,duhTimu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi.
Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu wala wachezaji leo wanajifanya ndio wenye timu!
Msipojirekebisha mtaishia kuwa Kichwa cha Mwendawazimu tu.
Hiyo ni mara ya pili mara ya kwanza ni muda mrefu kidogo umepita ilikua ni mechi ya Simba sikumbuki walikua wanacheza na naniTaa zimezimwa na wao wenyewe uwanjani hazikujizima! Mchina hakosei kiboya!
Hivi lini we uliona taa zimezingua kwa Mpalanger ( sorry kwa Mkapa ) mechi Gani? Lini? Itaje!
Jana Taifa la Tanzania limeaibika sana duniani kote nchi ya hovyo kabisa japo sisi ni donor country tuna uwezo kutoa pesa mabilioni kusaidia matajiri kina Osman Bey wa Turkey na maskini waMalawi ila taa za uwanja mmoja tu tumeshindwa!!
Viongozi wetu wengi ni vilaza hivi hawakukagua taa? kazi wanayoimudu ni kusimamia manunuzi ya vifaa vya amrisha tu maafande kupiga waandamanaji ila mengine hawana faida!
Hata taa za uwanja mmoja tu nazo tumeshindwa? Kweli tuna Waziri wa umeme? Saa ingine kipara hakina faida.
Haya kipi tunaweza?
Ndege ZZK anadai zimepaki, mwendokasi tumeshindwa, elimu tumeshindwa, ajira tumeshindwa, English speaking tumeshindwa, Kilimo tumeshindwa, SGR tumeshindwa tunasuasua, Bwawa la Nyerere tumeshindwa kujaza maji Toka Lake Victoria!! Boli tumeshindwa, Kweli bongo akili hatuna, viongozi bomu tu!
Tunayoweza
1.Ufisadi
2.Massage
3.Kuiba wake na waume za watu
4 Urasimu
5 uoñgo, umbea na majungu
Tumefanikiwa Royal Tour basi!
But hongera Bimkubwa for free tickets
Huu ndo ukweli. Wakati Sare ina faida kwako na huoni matumaini mbele unafanyaje sub za kukurupuka vile?Substitution zimetufanya tupoteze mchezo huu.
RubbishTimu hii ikifanya vibaya inakuwa ya Wananchi lakini ikishinda kagemu kamoja au tuwili inakuwa ya Viongozi.
Sasa matokeo yake ndio kama mlivyosikia, eti viongozi wasio na upendo wowote na timu wala wachezaji leo wanajifanya ndio wenye timu!
Msipojirekebisha mtaishia kuwa Kichwa cha Mwendawazimu tu.
Wacha weee !!!Rubbish
Habari ndio hiyoKotekote umo kweli siasa haikwepeki