Kujenga msingi wa nyumba ya vyumba viwili na sebule

Reptilia

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2018
Posts
867
Reaction score
847
Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim shingapi ? Kulingana na eneo niliyopo nipo kahama mjin
isije kuwa fundi amenipiga parefu yaani msingi tu amenipiga laki8 dah asee
 
Hujasema Ukubwa wa Msingi.Ila kama I Kahama amekupiga pakubwa.Fanya hivi:Chukua gharama za Mawe+Silent+Mchanga +Maji kisha zidisha mara 35%.Hizo ni hesabu za Serikali.Haitazidi Laki 3.Kama Una Ramani weka hapa.
 
Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim shingapi ? Kulingana na eneo niliyopo nipo kahama mjin
isije kuwa fundi amenipiga parefu yaani msingi tu amenipiga laki8 dah asee
Hii ni labor charge au?
 
Back
Top Bottom