Habarini wadau huko mliko , najua mambo yanakwenda SAKO kwa BAKO kwa upande wenu, Rejea kichwa cha habari hapo juu nilikuwa nahitaji kufaham je vyumba viwil na sebule kwenye msingi itanighalim shingapi ? Kulingana na eneo niliyopo nipo kahama mjin
isije kuwa fundi amenipiga parefu yaani msingi tu amenipiga laki8 dah asee