The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,382
- 2,582
|>> Jinsi ya kujenga nyumba yako bila stress au kuvunjika moyo: vigezo vya kumchagua fundi wa ujenzi mwenye uzoefu na uboraNi kero sana. Ni kero sana kufanya kazi na mafundi ambao hawako smart. Huyu atakuharibia kazi, huyu atakuibia materials, yule ni muongo kachukua kazi halafu hafanyi. Yaaani kuna kila aina ya kero.
Wale ndo wezi kabisa unamtangulizia pesa anaitumia kupata tenda nyingine, nyumba yako inaendelea kulala tu.Hivi bongo hamna kampuni za ujenzi wa hizi nyumba zetu za kawaida za kuishi.
Poleni sana.Sitosahau Rafiki yangu baada ya Nyumba yake kuisha.... Mama Chanja wake akiosha Vyombo Maji hayaendi, wakienda Msalani kujisaidia Mzigo hauendi.... kuja kufatilia Bomba za Maji taka zote zimebanwa na Kifusi.... Bwana Fundi alifukia Bomba za Maji taka hata ukizibonyeza zinabonyea.... kazi ikaanza upya
Vipi hao wanaowapa kazi mafundi! Sio wababaishaji?Nakuelewa mkuu ila komaa tu, mafundi watanzania 90% ni wezi wa ongo wababaishaji wana kosa professionalism.
Ukiona fundi anakuibia,
Ukiona fundi anachelewesha kazi
Ukiona fundi anakudanganya au hafiki site
TAMBUA TATIZO NI WEWE. Wengi mnawanyonya Sana mafundi mnapopatana nao kazi. Boss anaelipa vizuri huwa haibiwi na fundi, boss anaelipa vizuri hawezi kuharibiwa kazi kwasababu fundi ana budget ya kutosha.
Kama unajali maslahi ya fundi Basi nae atajali kazi ya boss.
Tatizo boss alinunua Bomba class A.Sitosahau Rafiki yangu baada ya Nyumba yake kuisha.... Mama Chanja wake akiosha Vyombo Maji hayaendi, wakienda Msalani kujisaidia Mzigo hauendi.... kuja kufatilia Bomba za Maji taka zote zimebanwa na Kifusi.... Bwana Fundi alifukia Bomba za Maji taka hata ukizibonyeza zinabonyea.... kazi ikaanza upya
Vipi hao wanaowapa kazi mafundi! Sio wababaishaji?
Kazi ya 4m unataka ufanyiwe kwa 900k.
Unategemea Nini?
Tatizo boss alinunua Bomba class A.
Ubahiri was boss ulimponza.
Class A tshs 18,000
Class B tshs 39000-45000
Yeye akapenda cheap
Mafundi wengi wa mtaani Wana hali ngumu kimaisha. Anakubali kufanya kazi hata ambayo Haina maslahi.Kwanini ukubali kazi kama pesa haitoshi!?
Lazima fundi anakuwa na malengo, huu sio kitu Cha kujivunia
Muhimu kujiwekea level ambayo haikushishi kikazi.
NAKAZIAUkiona fundi anakuibia,
Ukiona fundi anachelewesha kazi
Ukiona fundi anakudanganya au hafiki site
TAMBUA TATIZO NI WEWE. Wengi mnawanyonya Sana mafundi mnapopatana nao kazi. Boss anaelipa vizuri huwa haibiwi na fundi, boss anaelipa vizuri hawezi kuharibiwa kazi kwasababu fundi ana budget ya kutosha.
Kama unajali maslahi ya fundi Basi nae atajali kazi ya boss.