Kujenga nyumba ya kisasa kunaweza gharimu Tsh. ngapi?

BASHEER13

New Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
4
Reaction score
9
Assalaam alaykum wana JF

Mimi ni mgeni nilikuwa nahitaji msaada wenu wenzangu je ili nijenge nyumba ambayo inaendana na yakisasa

Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908

Pls msipuuze kunipa ushauri namtu mwenye hiyo ramani asipuuze anipatie katika hizo no zangu za WhatsApp.
 
Nyumba ya vyumba vinne gharama zake kwanza inategemea kiwanja kipo vipi lakini pia dizaini ya nyumba unayotaka kujenga ila kimaskini kabisa umejibana sana kujenga nyumba ya namna hiyo angalau kiwango cha chini uwe na M80+ hapo mpka fance
 
Assalaam alaykum wana JF

Mimi ni mgeni nilikuwa nahitaji msaada wenu wenzangu je ili nijenge nyumba ambayo inaendana na yakisasa

Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908

Pls msipuuze kunipa ushauri namtu mwenye hiyo ramani asipuuze anipatie katika hizo no zangu za WhatsApp.
Jitahidi ujue unataka nyumba ya namna gani kwanza, lakini pia fikiria kuhusu bei za gharama za vifaa vya ujenzi

Gawa ujenzi wako kwa awamu,

Sababu umejua gharama za vifaa nini kinahitajika wakati gani itakupa picha kamili kwamba awamu hii ninafanya hiki. Awamu hii nitafanya kile.

Ujenzi ni kitu kinacho hitaji maamuzi magumu so focus kwenye kuakikisha unahitimisha kila awamu bila kujali vikwazo sababu ulianza na utafiti wa gharama.

Muhimu ni kuchagua gharama unazo zimudu kulingana na mahitaji yako.

Usijenge kwa mkumbo kwa kua Jozen kajenga vile wewe nawe ujenge vile hapana be certain with what you want.

Budget sahihi ni Ile iliyo ndani ya uwezo wako. Na nyumba yako ni nyumba inayolingana na kipato chako.
 
Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908

Mkuu acha kupenda vitonga,, hakuna Ramani ya bure siku hizi.

Ramani nzuri ni ile mchoraji amefika kwenye eneo, so anakupa mchoro kulingana na eneo husika unalotaka kujenga.

Maswali unayotuuliza huku,, huyo mchoraji wako atakuwa na possibility ya kuyajibu yote.

Zingatia Ubora,,nyumba sio kama kununua nguo kwamba utabadilisha anytime...ukijenga umejenga.
 
Assalaam alaykum wana JF

Mimi ni mgeni nilikuwa nahitaji msaada wenu wenzangu je ili nijenge nyumba ambayo inaendana na yakisasa

Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908

Pls msipuuze kunipa ushauri namtu mwenye hiyo ramani asipuuze anipatie katika hizo no zangu za WhatsApp.
Andaa tu m35 utafikia level ya kuhamia
 
Kwa upande wa kuchukulia umeme tunaweza kuwasiliana boss 0718944022 au WhatsApp 0718944022.. coz unahitaji nyumba ya kisasa lazime utahitaji fensi ya Umeme.. tuwasiliane juu ya fensi ya Umeme pia
 
Back
Top Bottom