Ni mkoa wa Tanga wilaya ya Handeni KABUKU
Huu utani ..hiyo ni nyumba ya kawaida sanaNyumba ya vyumba vinne gharama zake kwanza inategemea kiwanja kipo vipi lakini pia dizaini ya nyumba unayotaka kujenga ila kimaskini kabisa umejibana sana kujenga nyumba ya namna hiyo angalau kiwango cha chini uwe na M80+ hapo mpka fance
Nyumba ya kisasa huanza na raman ya kisasa ,kwaio inategemea na ramani ya nyumba husika ,kuna nyumba ukizitazama ni za kisasa unaweza kudhani mtu ametumia budget kubwa sana kumbe ni kawaida.Huu utani ..hiyo ni nyumba ya kawaida sana
Hii bei ataishia kupanga tu tofaliHandeni wengine hujenga kwa Matofali ya kuchoma.
Ikiwa hivyo hata milioni 2-5 unajenga!
Nikweli kaka hiyo bei nahisi hiyo hivyo ulivyo hisi wewe ila sio mbaya sana nikatika kunishauriHii bei ataishia kupanga tu tofali
Jitahidi ujue unataka nyumba ya namna gani kwanza, lakini pia fikiria kuhusu bei za gharama za vifaa vya ujenziAssalaam alaykum wana JF
Mimi ni mgeni nilikuwa nahitaji msaada wenu wenzangu je ili nijenge nyumba ambayo inaendana na yakisasa
Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908
Pls msipuuze kunipa ushauri namtu mwenye hiyo ramani asipuuze anipatie katika hizo no zangu za WhatsApp.
Je, naweza kutumia gharama isiyo pungua bei gani na inayozidi kiasi gani napia mwenye ramani ya nyumba mzuri ya vyumba vinne anitumie katika WhatsApp no 0710915908
Andaa tu m35 utafikia level ya kuhamiaAssalaam alaykum wana JF