Kujenga Uwanja wa Mpira Jangwani ni mkakati zaidi

Hivi uwanja wa Mkapa umechukua ekari ngapi.
Pale Jangwani Kuna mradi mkubwa unaogharamiwa na benki ya dunia.
Hivi mnajua hata pale Jangwani Simba walikuwa na uwanja kwa hiyo yanga watataka kujenga uwanja wao kwenye eneo la Simba.
Kigamboni panatosha kabisa kujenga uwanja wa mpira hizo habari za ekari 12 ni fixs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…