Kwahiyo unataka kuwalinganisha dada zetu wa mikoani na pimbi?Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.
Asante kwa kuninunulia hiyo pombehuenda umelewa..kwan amekosea wap !wasukuma mna shida jaman kipiñdi hiki
Asante kwa kuninunulia hiyo pombe
Ahaa hayo ni yako Mkuu.Kwahiyo unataka kuwalinganisha dada zetu wa mikoani na pimbi?
eeh njoo pm sasa unipe namba nikutafuteHaya nimerudi nimegee
NimeokokaUnakunywa ngapi nikuongezee?
vyotevyote we njoo tuUnitafute au unigawie hizo dolari
Utatoa k nije?
Kampani ya hapa kwenye thread ndio nataka, umesikia mimi mama muuza au mgawa kei?
Wanawake wa dar ni kama kaka zao tu yaani unaumwa mafua tu unaanza kupiga mikelele na kudai umechoka wakati wenzako huku mkoani wanaumwa TB,Kwashakoo,pepopunda,surua,kichocho,degedege na kisonono lakini bado wanadunda tu na kazi ngumu wanafanya.