SOKETI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2010
- 206
- 50
UKIPITIA POST HIZI UTAWEZA KUTAMBUA NAMNA WATU WANAVYOWEZA KUBUNI MBINU ZA UJASIRIAMALI KILA KUKICHA
Jamani hii tabia mpya, post ya Inosent
Watanzania tunakoelekea sio kuzuri,juzi niliomba kazi kwenye ampuni ya wa Swedish cha kushangaza nikatumiwa messege na mtu nisie mfahamu tena akataja jina la ile kampuni niliyo omba kazi,akanza kwa kujitambulisha mimi nipo kwenye mkutano tupo kwenye mchakato wa kupitia cv zenu lakini wewe unauwezekano wa kuchaguliwa cha kufanya mshahara ni million 1 moja,akaanza kutaja masharti kwamba nitakapo anza kazi kwa mwenzi ule wa kwanza nitampa laki tatu.cha kushangaza ananiambia ni mtumie elfu arubaini kwanza ili afnye mchakato wakati hata sijapata simu ya kwenda kwenye interview. Jamani waogopeni hawa ni matapeli hawa nikama hackers wana hack website za kampuni
Beware with this>>>> Post kutoka kwa El
"Habari, Naitwa Rachel from Nexon International hapa dar, nipo kwenye kikao tunapitia cv tupate people to interview for program officer post, i like your cv na nitakusaidia upate hii kazi kwa sharti lifuatalo, mshahara ni 1.5million tshs ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa sh.laki 3 for helping you, kama upo tayari do the following, by saa 11 jioni uwe umetuma scanned copy ya vyeti vyako to visionafrica@gmail.com na sh.elfu 40 by tigo pesa kwenye hii namba au m-pesa 0767208704 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia by email. nikitoka kikaoni utapigiwa sim lini uje for interview"
Be very careful when receiving this msg, this is rubbish and conning.
Utapeli kupitia centre for environment protection, post ya Dr chistbomola
Wiki iliyopita kuna kampuni ilipost kazi za Research Assistant kupitia Zoom inaitwa Centre for Environment Protection.Jana saa tano usiku nikatumiwa meseji hii. Habari, naitwa rachel frm Centre for environment protection hapa dar,nilipitia CV yako mchana for research assistant and i will help you to get this job,mshahara ni 1.4 million tshs per mnth,but kuna gharama yake, inabidi unipe laki tatu ukishapata mshahara wa kwanza,kama upo tayari do the following,kesho asubuh by saa 5 uwe umetuma scaned copy ya vyeti vyako to visionafricaf@gmail.com na sh elfu 10 by tigo pesa kwny hii namba ili nimpe mtu wa interview kama advance akupitishe 100% siku ya interview,ukishafanya hvyo tutakupigia simu lini uje for interview.make sure umetuma kabla ya saa tano.
Tahadhari tena kwa walioomba kazi vision africa, post ya Amelin
Yule Rachel anaendelea kutapeli jamani, leo nimepokea msg kutoka kwake, anadai kuwa niliomba kazi ya account wakati sikuwah kuomba hiyo kazi kwani siyo professional yangu, msg inataka kufanana na ile alowatumia watu wa environmental protection ila amebadili kidogo kama mtakavyoiona,,.nilituma post yangu vision africa but sikuomba nafasi ya account sasa napata doubt huu ni utapeli ambao unatembea mtandaoni, msg yenyewe hiyo hapo chini.

Habari, naitwa Rachel from Nexon international hapa dar, nipo kwenye kikao tunapitia cv tupate people to interview for accountant post, i like your cv an like to help you. nataka kukusaidia upate kazi hii kwa sharti lifuatalo, mshahara ni 1.5 million Tshs. ukilipwa mwezi wa kwanza utanipa shs. Laki 3 for helping you, kama upo tayari do the following, by saa 11 jioni uwe umetuma scanned copy ya vyeti vyako to visionafrica@gmail.com na sh Elfu 20 by tigo pesa kwenye hii namba 0713749735 au mpesa 0767208704 ili nimpe mtu wa interview anipe maswali ntakutumia by email. nikitoka kikaoni utapigiwa simu lini uje for interview.
Ndo hii msg ya huyo tapeli Rachel jamani we should be careful!
LA KUSIKITISHA ZAIDI NA LILILO NIKOSESHA UVUMILIVU NI...
Jamaa mmoja aliyenipigia simu na kujitambulisha kuwa ni mfanya kazi wa recruitment agent wanaotumia website ya www.tanzania -job-link.webmode.com. jamaa alijinadi na kudai kuna nafasi zaidi ya 200 za procurement officer- usaid mtwara, alidai wao ni marafiki na zoomtanzania na kupitia wao wamechambua CV za watu na kuanza kupigia wati simu tayari kwa kwenda kufanya orientation, pasipokuwa hata na interview. Mshahara ni $1500< pamoja na allowance nyingine nyingi zikiwepo nyumba na usafiri
MASHARTI YA KUPATA AJIRA:
1. Mshahara wa kwanza wote watachukua,
2. Ndani ya saa kumi na mbili toka ulipopigiwa simu uweze kukubali kufanya hiyo kazi,\
3. Utume shilingi 100,000 kama uthibitisho kuwa uko tayari kwa kazi
SINTOFAHAMU:
- Je, kuna kupata AJIRA HAPA, au NI KUPATIKANA KATIKA SOKO YA AJIRA?
- Je, ni watanzania wangapi waliosomeshwa na familia zao kwa tabu na wao kuweka bidii katika elimu ili angalau waje kujikwamua na changamoto za maisha wameshawahi kukutana na huu mkasa,
-kama jamaa hawa ni makaburu/wanyonyaji katika soko ya ajira nini kifanyike kukomesha tabia hii?
MAONI: kama mbinu hii ya kutafuta ajira ni halali na wapo waliowahi kupata kazi kupitia mbinu hii ya kununua na kuuza ajira, basi hii itakuwa njia rahisi na bora ya kutafuta ajira. Kama si sahii na alali, tabia hii inaitaji mbinu za kuitokomeza ili kuepuka hasara sinazoweza kuwapata watanzania walio wengi kadri siku zinavyokwenda, kutokana na kukosekana kwa taarifa, kukosekana kwa ajira na kuongezeka kwa wadau katika mbinu hii ya kujiajiri.