Kujiajiri kwa vijana baada ya chuo

Kujiajiri kwa vijana baada ya chuo

Biashara ndogo ndogo kwa vijana wanataka kujiajiri ni zipi?

  • Biashara za saluni? Mpesa, duka la vipodozi na vingine vingi.

    Votes: 1 100.0%
  • Biashara ya chakula, kushona na urembo

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    1

Sarah Msenga

New Member
Joined
Dec 28, 2019
Posts
2
Reaction score
2
Habari zenu JamiiForums.

Kama kichwa cha habari kinavyosema, nahitaji mawazo mbali mbali ya kujiajiri kwa vijana waliomaliza chuo, wa kike na kiume, naimani uzi huu utasaidia wengi, kwahiyo sitegemei masuala ya una ujuzi gani, kama wewe una idea ya juzi wowote leta utasaidia mtu.

Naomba kuwasilisha.
 
Nenda kwenye majukwaa ya biashara/kilimo/siasa etc utapata idea kibao tu....
 
We unasema baada ya chuo maisha ya kujiajiri yanaanza ukiwa chuoni ili upate mtaji pindi ukimaliza masomo mfano
Mshikaji wangu alikuwa ana uza boot zile za engineer chuoni mwingine alikuwa anauza maandazi na chai pamoja na maji mpaka akanunua boda boda the choice is yours.
 
Back
Top Bottom