Ni kweli attitude ni kila kitu, kama hauko tayari au haujaamua na wala hauna msukumo wa kufanya jambo, hauwezi kulitekeleza kikamilifu.
Mfano hata kama ukipewa mtaji kama wewe binafsi haupo tayari au hauna msukumo wa kufanya kitu nje ya ajira, hauwezi kufanya chochote.