Kujiajiri

Mlioko tayari,vijana kumi tufungue saccos yetu,kama mpo tayari niambieni tupeane ujanja wakuandika proposal chap.
<br />
<br />
apo akuna ujanjaujanjalamsingi mkawaone watahalam wa kuandika proposal siyokukusanya tu watu.afu kuwa specifiki na eneo usika siyo tu wanajf.
 
uwo ujanjaujanja ndio umelifikisha taifa apa lilipo nendeni kwa watahalam.
 
hivi nani kawaambia saccos ndo kutoka?! tunahitaji zaidi ya saccos
 
Kijana mbona wenzio tushaungana muda mrefu na mambo yatakuwa tayari very soon. Upende kutembea tembea jukwaa la biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…