Hallow great thinkers.
natamani kuanza biashara ya kilimo cha matunda na ufugaji wa kuku chotara. naomba yeyote mwenye relevant information juu ya hili aniitaarifu kupitia
beatricezuberi@yahoo.com.
asanteni.
HONGERA SANA KWA KUTAKA KUJIAJIRI MKUU
MIMI NAKUSHAURI UFANYE YAFUATAYO
1. KWENYE KILIMO CHA MATUNDA
- Hakikisha matunda unayo lima unafanya packeging mwenyewe ndo uuze
- Usilime then ukasubiria madalali wakutafutie soko kwa bei yao
- Unaweza fanya simple packeging na ukawa unauza hapo utakuwa umeyaongezea sana thamani matunda yako na mtaji ukikuwa unaweza hata nunua yale magari ya kubebea vitu vya baridi kama samaki ukawa unabebea matunda yako yaliyo pakiwa na kuuza hata mwanza kama wewe uko dar
ukipaki dizaini hiyo hakika utakuwa unafanya biashara iliyo enda shule, na utajitofautisha na wenzako
Au dizaini hii,
2. Kuhusu kuku
Hta kwenye kuku jitahidi sana kufuga na ku process mwenyewe, unaweza anza kidogo kidogo, haya maswala ya kufuga tu na kusubiri wateja waje kununua ni ngumu sana
- Razima ujitofautishe na wenzako, ni kwa kivipi wateja watakuja kununu kuku wako na wasununue za wenzako? kuna kitu gani cha ziada kwenye kuku wako?