Si jambo la kawaida au lililozoeleka hasa kwenye jamii zetu za kiafrika hususan Tanzania kumuona mwanamke akimuanza/akimtongoza mwanaume. Hali hii nimekua nikikutana nayo na mara nyingine kuisikia kwa watu..Sintofahamu katika hili ni je MWANAMKE KUMTONGOZA MWANAUME NI KUJIAMINI au KUCHIZIKA?
Hebu jiulize kwani wanawake wana mioyo ya chuma????kama amependa na mdomo kwanini asiseme??!! Wapi iliandikwa ni wanaume tu ndio wanaotakiwa kutongoza na si wanawake! TUBADILIKE