lorahshop
Member
- Oct 16, 2021
- 39
- 69
Mimi nauza vitu mbalimbli ziko specific nilianza kuagiza agents wakibongo wanaoishi china now naagiza mwenyewe, nauza socks sana tu pea tano(20000) mara nyingi nauzia insta ila nikapenda kutangaza na huku pia!!
Nilichogundua watu wanakatisha tamaa sana iko hivi wewe unavaa socks za 1000 ni wewe ila kuna watu mi nawauzia hizi zangu mtu anachukua box ata 4 kwa wakati mmoja na delivary analipa!!!
Kwa wafanya biashara wadogo kama mm tangazen insta kule bei unapanga wewe na wateja wapo kama wote bidhaa iwe nzuri tu na usitishwe na maneno ya kebehi sijui hizi napata kwa 2000 simamia misimamo yako.
Mimi niligizi pea 50 namaanisha vibox 50 nimeuza ndan ya mwezi na bei yangu ni 20000 na sasa nina mzg mwingine umeingia jana[emoji1488] socks zinalipa vizr mnoo cha msingi kua na msimamo mteja asikuyumbishe.