Nina soko la Green cardamom (iliki za kijani) km unaweza kupata nicheck ndugu ynguHizi sites tatizo la buyers wake wanataka utume mzigo kwanza kabla ya pesa. Kuaminiana mtandaoni yataka moyo. Nilijarabu haya tangu 2010~ 2012
Kupata connection sio rahisi kama inavyo andikwa hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona sijatangaza biashara jamani zaidi ya kutoa elimu ,sasa izo links ni kitu cha kuficha wakati uki google unazikuta zimejaa mpaka zinamwagikaMkuu kama una ogopa kweka link za websites hapa, umeshindwa hata kuandika majina tu ya hizo platforms? Kweli? Unatangaza biashara gani hiyo yenye agenda iliyofichika?
Nina soko la Green cardamom (iliki za kijani) km unaweza kupata nicheck ndugu yngu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hkn maisha bila changamoto hkn maisha bila kuchukiwa tu bila sababu...Comment ya Jimbi aloniita kibaka na tapeli imefutwa,so nitaendelea kujibu maswali yenu.
Bei ya mashine inategemea na muuzaji kila mtu ana bei yake, kwa ninavyohisi viungo vilivyosagwa vinapatikana kariakoo sokoni, pia kuna mashine ya kusagia viungo ipo ilala sijui exactly sehemu ilala wapi mie niliambiwa ivo na mtu anaye fanya biashara ya viungo.Rafiki hivi zile mashine za kusaga mdalasini na viungo vingine kama tangawizi na karafuu ni bei gani? na je kuna sehemu vinauzwa kwa jumla vikiwa tayari vimesagwa?
Okay asante.Bei ya mashine inategemea na muuzaji kila mtu ana bei yake, kwa ninavyohisi viungo vilivyosagwa vinapatikana kariakoo sokoni, pia kuna mashine ya kusagia viungo ipo ilala sijui exactly sehemu ilala wapi mie niliambiwa ivo na mtu anaye fanya biashara ya viungo.