Kujibu barua za kujieleza

kilama

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2015
Posts
2,745
Reaction score
1,989
wakuu naombeni msaada wa kisheria namna ya kujibu barua kwa maana sheria zipi nitumie kujibu barua ya kujieleza baada ya kupewa barua kutoka kwa msimamizi wangu wa kituo cha kazi.
AHSANTENI!!!
 
Umefanya kosa gani had uambiwe ujieleze? huwezi kuambiwa ujieleze kama hukufanya kosa. Eleza vizuri kosa
 
wakuu naombeni msaada wa kisheria namna ya kujibu barua kwa maana sheria zipi nitumie kujibu barua ya kujieleza baada ya kupewa barua kutoka kwa msimamizi wangu wa kituo cha kazi.
AHSANTENI!!!

vipi kwani umebaka kituo...??
 
barua umefanya kosa gani ? una circumstantial or direct evidence kwa kosa lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…