Kujibu Mapigo: Mkutano wa Halima Mdee na Wanahabari Wayeyuka kama theluji mbele ya moto

Hebu jirekodi afu jisikilize
 
MaCCM hovyo sana, Mnaongea sasa, Wameunga juhudi ila mlitaka kutuletea mambo yenu ya kichawi mliowafanyia CUF.
FUKUZAAA..! waende huko kwenye kutapanya kodi zetu, wakale vya haramu.
Huko kwenu nasukia ili uwe mbunge wa viti maalumu Kama siyo hawala,basi dada,shemeji,mke au unauziwa kwa dau zuri .Eti kamati kuu ,nyoooooooo... Chadema itapata wapi kamati kuu,kikundi cha wahuni kinajiita Kamati kuu
 
sasa unalia nini ?
 
Utakua una amanisha Magufuli na yule aliepata kura3 za viti maalum, na sasa mbunge, Keby hotell kapewa.
 
Kanuni za vyama na ajira, usipotii wito wa mkuu wako unaweza ukafukuzwa uanachama au kazi.
Hivyo ndivyo ulivyofundishwa shuleni? We subiri uone siasa ilivyo katika uwanja halisi. Ufahamu kanuni za uraiani zikoje. Mnasumbua watu na utoto wenu bure. Umeyaona Sasa eenh??
 
Na wataendelea kwenda bungeni ?
 
Halima na baadhi yao hata kubali kujiunga Ccm. Bali watarudi kuomba radhi..
Kinachoniumiza zaidi hao wa mama wote isipokuwa Bulaya ni zao la CHADEMA.

CHADEMA kimetumia nguvu kubwa sana kuwaandaa hawa kina mama na kuwa wanasiasa wenye tija kwa taifa halafu career zinaharibiwa na mtu mjinga mjinga kama Ndugai tu.
 
What about Dr.slaa,Sumaye,Lowasa,Silinde na wengine weeengi...walikuwa wanawake?!
 
What about Dr.slaa,Sumaye,Lowasa,Silinde na wengine weeengi...walikuwa wanawake?!

Mimi siongelei juu ya mtu aliyehama chama, nazungumzia juu ya mtu aliyekuwemo ndani ya chama na akakihujumu chama akiwemo ndani, huyo ndiye msaliti.
 
Mjomba hizo story za vijiweni achana nazo,
Hayo mambo yalisemwa toka enzi za makinikia..

So achana na story za maskani
 
Kinachoniumiza zaidi hao wa mama wote isipokuwa Bulaya ni zao la CHADEMA.

CHADEMA kimetumia nguvu kubwa sana kuwaandaa hawa kina mama na kuwa wanasiasa wenye tija kwa taifa halafu career zinaharibiwa na mtu mjinga mjinga kama Ndugai tu.
Ni dhambi kumlaumu Mhe.Ndugai kwani siye aliyewafukuza amepokea majina kutoka tume ya Taifa ya uchaguzi Nec na Nec wamesema wazi walipewa majina na Chadema yaliyosainiwa na Katibu Mkuu Mnyika, kumbuka wewe umesikiliza taarifa ya upande mmoja iliyotilewa na Mbowe na kila wanapojaribu kukupa ufafanuzi Wakina mhe Ndugai na Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi hutaki kuamini Sasa subiri na wakina Halima Mdee na wenzake wakupe taarifa ya jinsi mchakato mzima ulivyokuwa mpaka upatikanaji wao baada ya hapo utaelewa somo vinginevyo utakuwa kilaza yani utakuwa una matatizo kichwani au utakuwa mbishi tu kwa sababu unapokea posho ya Chadema kwa ajili ya kutetea ukiukwaji wa katiba,Sheria,miongozo na itifaki ya Chadema katika kuwafukuza na kuwavua uanachama wakina Mdee. Sasa kwa kuwa tatatibu za kisheria hazikufuatwa tegemea nginja nginja mpaka kitaeleweka.
 
Mimi siongelei juu ya mtu aliyehama chama, nazungumzia juu ya mtu aliyekuwemo ndani ya chama na akakihujumu chama akiwemo ndani, huyo ndiye msaliti.
Msijitoe ufahamu kumbuka uchaguzi mkuu wa mwaka 2015,Aliyekihujumu Chama alikuwa Mbowe kwa kumleta Lowasa kuwa Mgombea wa Chadema akashinikiza kwenye kikao kwa sababu alikula mlungula wala hamkuhoji na mumchukulia hatua Mbowe ndiye alikuwa msaliti kwa kuuza Chama mpaka Dr Slaa wakati huo akiwa katibu Mkuu alipoamua kutoka na kusema adharani upuuzi wote uliofanywa na M/kiti wa Chadema Mbowe.Pamoja na kujua ukweli mpaka Sasa Chadema haijawahi kumchukulia hatua Mbowe sasa bado amezidi kuivuruga Chadema mko kimya .
Aidha leo Mdee na wenzake wanajibu mapigo fuatilia utapata ukweli na kujua nani tatizo kwa maendeleo na mafanikio ya chadema
 
Chadema hiyo hiyo,kwani Chama Ni Cha kwako wewe na familia yako au ukoo wako
Wakati mwingine jaribu kutafakari kabla ya kuhororoja usiyoyafahamu.Mimi siyo CDM,sina uhusiano wa sina yoyote na hicho chama kwa sasa ila mnawalazimishia CDM wabunge?Ubunge unatokana na vyama,CDM wamewafukuza uanachama kina Mdee,bado wanastahili kuwa Wabunge?Usikute umechanganya files.
Spika amesema CDM ni kampuni ya Mbowe,kampuni zinakuwa na uwakilishi Bungeni?Simieni sheria ili msijiumize vipara bila sababu za msingi.
 
Mimi siongelei juu ya mtu aliyehama chama, nazungumzia juu ya mtu aliyekuwemo ndani ya chama na akakihujumu chama akiwemo ndani, huyo ndiye msaliti.
Msaliti na mhujumu mkubwa wa Chadema Ni M/kiti Mbowe a.k.a YUDA , huyu jamaa ni hatari sana kwa maendeleo ya Chadema vinginevyo apigwe chini.Fuatilia kwa kina utathibitisha maneno yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…