Mbona amechelewa, pcb ukiwa na principle 1 unaapply tcu, kuna watu kibao wameaaply na wanaitwa na mkopo juu, anaweza kusoma bachelor za accounts,bba,computer science,it nk. Au kama anataka udr. Aapply vyuo vya tiba asome clinical officer miaka 3 af ataingia medicine miaka 5. Pia anaweza kusoma diploma za nursing,pharmacy na labalatory miaka 3 then 5 dree yake. Naona muda unaisha kama hajaapply awahi nadhani mwisho 30,May