Kujiendeleza Open University

Kujiendeleza Open University

mbwede

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
7
Reaction score
10
Naomba kuuliza kama mtumishi wa umma (mwalimu) anataka kujiendeleza kupitia open university siku za mitihani inabidi awe anaomba ruhusa kwa mwajiri?. Au wazoefu mshawahi soma open mlikuwa mnafanyaje
 
Umeanza lini kazi?
Haijarishi hata km ameanza Jana ruhusa anapewa kipindi cha mitihani anaandika barua hata hio kusoma lazima atakua na kibari hivyo mwajiri ataelewa tu wapo walimu wengi wanaojiendeleza Open
 
kwani si wanasoma jioni, na mitihani inafanywa jioni, au mitihani inafanywa asubuhi?
Inategemea maana mfumo umebadilishwa siku hizi hawafanyi online maana kuna wakuda walikua wanafanyiwa mitihani kwa hio wanafanya darasani km wengine hata hio ya darasani kuna wakuda bado walikua wanaenda kuwafanyia watu mitihani kwa hio paper inaweza ikawa asubuhi, mchana au jioni inategemea na ratiba itakuaje
 
Kah!
 
Back
Top Bottom