Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Kilichotokea Kenya ni fundisho kwa wengine. Tuliache hilo.
Mwanamke mpe hela, hasa yule unayetarajia kuishi naye. Mpe hela kisha tazama matumizi yake au ushauri wake kwenye pesa zako.
Hii ya kujifanya fukara ili kupima uvumilivu wake ni mbinu mfu. Eti unataka kujua siku ukiishiwa itakuwaje!
Kwanini ujiandae kuishiwa? Hiyo kwanza ni kuhalalisha uzembe. Pili ni kutenda dhambi ya uongo, kwa kuigiza hali isiyo yako.
Uvumilivu wa mke asiye na ushauri wala mipango thabiti na matumizi ya fedha ni BURE tu.
Jiepushe ni dhambi ndogondogo.