Kujifukiza kwa kutumia mashine kwa milion mbili na laki tano tu (2.5m)

Kujifukiza kwa kutumia mashine kwa milion mbili na laki tano tu (2.5m)

Obamamtoto

Senior Member
Joined
Oct 23, 2012
Posts
130
Reaction score
179
katika vita ya kuendelea kupambana na corona kuna mashine tunazitengeneza (disinfectant walk through ) kama inavyooneka hapo chini kwenye picha na video .tushirikiane kupambana na janga hili kwa wanao hitaji tuwasiliane ni milioni mbili na laki tano tu.tupo MBEYA karibu na IYUNGA tunafika ulipo.
+255754583499


FIX.PNG
FIX2.PNG
 
Haki vile kuna watu hamko serious na ugumu wa maisha yaani million mbili bei ya viwanja viwili
 
Issue sio mashine but issue ni dawa gani inawekwa ndani na, je! Ina uwezo wa kuharibu virusi vikiwa nje ya host?na!je kiwango chahayo matone yanayotoka concentration yake inaweza kumvunja virus.vipi ni taasisi gani au mtaalamu gani anasimamia uchanganyaji wa dawa na kuhakikisha kuwa dawa ipo katika tatio ambayo itaua virus na haileti madhara kwa binadamu?ninavyoielewa bongo dawa inawekwa siku za mwanzo baadaye hata maji matupu au dawa kiduuchu halafu ukiingia unaamini umejikinga kumbe umejilowanisha
Lakini hongera sana kwa ubunifu.
 
Back
Top Bottom