Issue sio mashine but issue ni dawa gani inawekwa ndani na, je! Ina uwezo wa kuharibu virusi vikiwa nje ya host?na!je kiwango chahayo matone yanayotoka concentration yake inaweza kumvunja virus.vipi ni taasisi gani au mtaalamu gani anasimamia uchanganyaji wa dawa na kuhakikisha kuwa dawa ipo katika tatio ambayo itaua virus na haileti madhara kwa binadamu?ninavyoielewa bongo dawa inawekwa siku za mwanzo baadaye hata maji matupu au dawa kiduuchu halafu ukiingia unaamini umejikinga kumbe umejilowanisha
Lakini hongera sana kwa ubunifu.