Kujifunza fani ya ufundi

Dazla tech

Member
Joined
Nov 10, 2023
Posts
38
Reaction score
19
Ndugu wanajamii forum wenzangu napenda kuwajulisha kwamba kama unandugu, Mtoto au Jirani anayetaka kujifunza fani ya ufundi, kwa vitendo ikiwa ni ufundi wa (KUTENGENEZA SIMU , SABUGA , TV , FENI , PASI , BRENDA , na vingine vingi vya umeme.) Nawakaribisha ofisi zipo kariako agrey mkabala na shule ya uhuru.

VIGEZO VYA KUJIUNGA
Anatakiwa aje na barua ya mjumbe wa nyumba kumi pamoja na mzazi au mlezi akiambatanisha nakala ya kitambulisho chochote kikiambatana na copy ya kitambulisho Cha ndugu anaye mlea, nizamu na kupenda fani ya ufundi ndo kipao mbele.

ADA YA KUJIUNGA
Kozi hii inatolewa Kwa mienzi mitatu ambapo ni Tsh 450000 laki nne na nusu za kitanzania.

MAWASILIANO

+255 65522 6738.
 
Mamlaka gani ya kisheria nchini imewasajiri kujidhihirisha na ubora wa elimu mnayoitoa?
 
Mamlaka gani ya kisheria nchini imewasajiri kujidhihirisha na ubora wa elimu mnayoitoa?
Kinachofanyika ni kutoa ujuzi kwa vijana wenye uhitaji na fani Ili waweze kujiajiri Kwa rasilimali ya mtaji wa akili na marifa
 
Mnapokea watoto/vijana pekee, au hata watu wazima tunaruhusiwa kuja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…