Kujifunza kiingereza

tricky

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
107
Reaction score
32
Heri ya mwaka mpya wana jf. ..
Msaada napenda kujifunza kuongea kiingereza . ni hatua gani nifanye ili niweze kukijua
 
Gharama ya kujifunza ni sh. ngapi?
 
samahani kuja na maswali badala ya majibu

unataka ukakiongee na nani? wapi?

hahahaahahahahaha....

hivi wewe unajua maneno mangapi ya Kiswahili
Tatizo ujaelew kwanini nimekuuliza ivyo nilitaka nikusaidie najua kama hujui kingerez kuna baadhi ya maneno machache utakuw unayafahamu nilitak nikuelekeze jinsi ya kuyatumia na kuyaunganisha katika sentensi ya kingereza.
 


Poa teacher....nataman nijue haraka ili mnipe ajira mwaka huu 2018,,,,,
 
Hi nimeipenda sana kiongozi,hongera
 
Heri ya mwaka mpya wana jf. ..
Msaada napenda kujifunza kuongea kiingereza . ni hatua gani nifanye ili niweze kukijua
kuna tip moja itakusaidia "think in english"
watu wengi tunapofikiria huwa tuna fikiria kwa lugha mama(ulozoea kuitumia).. sasa badili muelekeo fanya english kuwa ndio lugha yako mama.. chengine jitafiti mwenyewe ujue ni wapi panakuwia vigumu ktk kuitambua lugha husika kisha fanya solution.. neno hulijui tafuta kamusi ya english to english mpk likushinde kabisa ndo unaangalia kwa kiswahili..
you have to know that any language is kind of intelligent and your the intelligent.
 
Hii lugha bwana yaani ukijua kuandika shida inakuja kwenye kuiongea na ukijua kusoma unaweza usijue kuandika au kuiongea au kuisikriza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…