Kujifunza kiswahili kwa asiejua kabisa

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,384
Wakuu nina rafiki angu anataka nimfunze kiswahili ila sina muongozo, naomba kwa yeyote anaejua whereabouts kuhusu hili anisaidie, atakaefanikisha ninaahidi kumlipa Tsh 20,000. Whether ni syllabus ama kitabu cha kuelekeza stages nitakuwa happy tukiwasiliana kwa pm au ni-sms +61424679013 or whatsup please
 
Please kama unaweza nisaidia ntashukuru sana
 
Tushaamka kaka ebu wakati unafikiria anza na Alphabeti A mpaka Z,then A mpaka U,then 1 mpaka 10 anza hapo kwanza huku tukiwasiliana na kina maki hassani wa bakita.
 

Aisee naweza kukusaidia lakini nimecheki Hii namba whatsup hazipatikani. Nitumie Meseji whatsup kwa +255752409525 nitakusaidia zaidi.
 
Mkuu nipo, nakutext sasaiv!

Sikuoni whassap pia mkuu,sjui tatizo nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…