Kujifunza kuendesha lori kubwa la mzigo kunachukua muda gani?

Kujifunza kuendesha lori kubwa la mzigo kunachukua muda gani?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
4,072
Reaction score
12,119
Nina ndugu yangu anataka kuingia kwenye hii sekta ya usafirishaji mizigo hivyo nikaona ku share swali hili kwenu.

Je inachukua muda gani hadi ku qualify kuendesha lori.

Pia anataka kujua faida na changamoto za udereva wa haya malori.

Natanguliza shukurani.
 
Back
Top Bottom