Nina ndugu yangu anataka kuingia kwenye hii sekta ya usafirishaji mizigo hivyo nikaona ku share swali hili kwenu.
Je inachukua muda gani hadi ku qualify kuendesha lori.
Pia anataka kujua faida na changamoto za udereva wa haya malori.
Natanguliza shukurani.