Kujifunza kupaka rangi magari

BABA TUPAC

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2015
Posts
1,527
Reaction score
3,811
Wakuu,

Mi napenda sana kujifunza kupaka rangi magari, naomba kufahamu ni sehemu gani wanatoa elimu hii ambapo nikitoka nitakuwa nimeiva.

Natanguliza shukrani wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu,

Mi napenda sana kujifunza kupaka rangi magari, naomba kufahamu ni sehemu gani wanatoa elimu hii ambapo nikitoka nitakuwa nimeiva.

Natanguliza shukrani wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani magari yalikuwa yanapkwa rangi. Siku hizi yanapuliziwa. Hivyo huwezi kupata hiyo sehemu ya kupata masomo hayo. Ni nyumba tu sasa ndo wanapaka rangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Veta Chang'ombe kozi miaka 3. Long kozi yeyote ya veta lazim uwe umeitimu form iv, Ada ni laki 3 kasoro kwa mwaka. Foem zinatolewa kuanzia mwez wa nane na usaili mwish mwez wa kumi,
DEegree yake miaka 4. Nilikuwa naipenda hiyo kozi nilifuatilia sana, ila nilishndwa kuanza mq

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kozi ya nn? Mtafute huyu fundi 0656027370 atakusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…