Kujifunza kupamba keki

wewe ni mwanamke au mwanaume. Kama Mwanamke sema umri wako mi nikufundishe!
 
Habari za leo wadau natafuta mwalimu wa kunifundisha kupika keki na kupamba tafadhali
email sharifadupont@yahoo.com kama yupo awasiliane nami kwenye email yangu
tafadhali kwa mawasiliano zaidi

Nenda veta wanakozi nzuri sana ya Bakery, utaundishwa vitu vingi sana na wataaalamu kwa mwezi mmoja tu kozi yake..ukitoka hapo utakuwa Fiti kupamba.
 
Nahitaji mpishi, awe na uwezo wa kupika street food, Kama forodhani Zanzibar, Uandaaji wa juice, Kufanya bekaring .

Kama Upo na unauhitaji wa kazi ni PM kituo cha kazi Mbeya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…