kwa kutumia CameraKwa kutumia simu au DLSR?
Okay, wakati unasubiria kufundishwa, nashauri ungeanza wewe kupiga kwanza kwa simu yako. Tupe Instahram yako tuone kazi zako tujue una passion au? Pia anza kupiga kwa manual camera setting achana na auto kwenye simu yako. Just shoot utapata experience.kwa kutumia Camera
Asantee, ila simu yangu Uwezo Mdogo Sana. Ngoja nitafute Studio nianze Kujifunza na kujitolea kama Alivyonishauri Real Mamy hapo chini.Okay, wakati unasubiria kufundishwa, nashauri ungeanza wewe kupiga kwanza kwa simu yako. Tupe Instahram yako tuone kazi zako tujue una passion au? Pia anza kupiga kwa manual camera setting achana na auto kwenye simu yako. Just shoot utapata experience.
Sina kitu kaka ndo naanza maisha...Mkuu una 2 million cash? Ka nunue sonny camera kali inakuwa na automation nyingi na hautasumbuka sana