Kujikinga na UKIMWI bila kutumia mipira "condoms"

Je jamani nimemaliza kidato cha nne nikapata iv alama 26 lakini ninatuma vyuoni lakini sijanguliwi je nifanyaje wanajamii?

Kheeeeeeeeeeeeeeeeee!jamani nimecheka mno!by the way mi naona hata hiyo iv kama wamekupendelea mno,maana hata kiswahili hukijui!:suspicious:
 
Mkuu Larusai Mux Badala ya wewe kuniuliza mimi kuhusu ile dawa niliyokufundisha ya kuweka dushelele maji ya kitunguu Saumu wewe umeamuwa kufunguwa Thread hapa kuulizia mambo ya Ukimwi? Haya waulizie wajuzi watakujibu inshallah mimi sitokujibu kabisa.😡:angry:
 

mkuu Mzizi Mkavu,sina maana hiyo mkuu!
Kuhusu swaum nimekuelewa vizur sana,nlitaka watu wachangamshe akili na kujikumbusha kuhusu HIV, km unaujuz tafadhali utujuze pia,
Bado tuko pamoja sana mkuu wangu.
 
Samahani ila naomba kuwauliza nyie mnaosema tuache zinaa. Mungu amesema na kutuamrisha kuwa tupendane, tugawane na tufurahishane kwani ndiyo starehe ya dunia, ya nini tena tusitumie madushelele kadri inavyotakiwa? Tunaposhikwa na nyege dawa ya dushelele si kuwashwa bali kuingia kwenye chemba ya asili iliyo na maji ya moto asilia ili ipate joto na kupoza hiyo chemba, kwa nini tuinyime dushelele haki yake? Na kama hii ingekuwa rahisi basi watu wasingetoka nje ya ndoa zao. Ni maoni yangu tu jamani msinirushie mawe, mie siyo CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…