Kujiondoa kwa Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa AUC kutabadili upepo, pumzi na uelekeo wa siasa za Kenya kuanzia sasa

Kujiondoa kwa Raila Odinga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa AUC kutabadili upepo, pumzi na uelekeo wa siasa za Kenya kuanzia sasa

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa Africa AUC.

Japo kuna mgawanyiko miongoni mwa wafuasi wake, ambao kundi moja lilitamani apate nafasi hiyo huko AU, lakini pia kundi jingine lilikua likitamani Raila asipate nafasi hiyo ili abaki Kenya aendeleze mapambano ya kuleta mageuzi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini humo.

Je,
Ruto must go sasa itapata nguvu?

Na Raila Odinga ataungana kisiasa na Ruto au Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya 2027 au atasimama mwenyewe?

Una maoni gani kwenye hili?

hivi ndivyo kura zilivyopigwa hadi raila alipojiondoa,

Round ya kwanza hakuna mshindi
raila 20
mahamoud ali 18
richard 10

RAUNDI YA PILI HAKUNA MSHINDI
Raila 22
mahamoud 19
richard 9,

RAUNDI YA TATU HAKUNA MSHINDI
Raila 20
mahamoud 23,
richard 5

RAUNDI YA 4 HAKUNA MSHINDI,
Raila 21
Mahamoud 25,
Richard amejiondoa baada ya round ya3

RAUNDI YA TANO HAKUNA MSHINDI,
raila 21
mahamoud 26 kuna nchi zimejiepusha kupiga kura

RAUNDI YA SITA HAKUNA MSHINDI,
Raila 22
Mahamuod 26

RAILA AMOLO ODINGA AMEJIONDO RASMSI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UENYEKITI WA AUC BAADA YA ROUND YA SITA.
:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
 
Naunga mkono uamuzi wa Raila japo namlaumu hakutafakari vyema tokea mwanzo na kukubali kuingia kwenye kinyang'anyiro hakujua unafiki wa viongozi wa Afrika maana naamini waliomuangusha wengi ni wale waliokuwa wakionesha kumuunga mkono kumbe walikuwa wakimchekea Jino pembe.
 
Naunga mkono uamuzi wa Raila japo namlaumu hakutafakari vyema tokea mwanzo na kukubali kuingia kwenye kinyang'anyiro hakujua unafiki wa Afrika maana naamini wengi waliomuangusha ni wale waliokuwa wakionesha kumuunga mkono kumbe walikuwa wakimchekea Jino pembe.
sio kwamba nchi za kiarabu zilipendelea sasa ni wakati muafaka nao wapate mtu wao?
lakini pia ECOWAS NA COMESA walihitaji mtu mwenye ujuzi wa kuzungumza kifaransa na kireno kwa ufasaha? :NoGodNo:
 
Mabadiliko na pumzi mpya inatarajiwa wakati wowote tangua waziri mkuu wa zama ni wa kenya Raila Odinga atakapotua Kenya. Matarajio na matumaini yalikua makubwa mno na ya kiwango cha juu sana kwamba kiongozi huyo wa upinzani Kenya angeshinda nafasi ya kua mwenyekiti wa Kamisheni ya Umaoja wa Africa AUC.

Japo kuna mgawanyiko miongoni mwa wafuasi wake, ambao kundi moja lilitamani apate nafasi hiyo huko AU, lakini pia kundi jingine lilikua likitamani Raila asipate nafasi hiyo ili abaki Kenya aendeleze mapambano ya kuleta mageuzi kisiasa, kijamii na kiuchumi nchini humo.

Je,
Ruto must go sasa itapata nguvu?

Na Raila Odinga ataungana kisiasa na Ruto au Gachagua kuelekea uchaguzi mkuu wa Kenya 2027 au atasimama mwenyewe?

Una maoni gani kwenye hili?

hivi ndivyo kura zilivyopigwa hadi raila alipojiondoa,

Round ya kwanza hakuna mshindi
raila 20
mahamoud ali 18
richard 10

RAUNDI YA PILI HAKUNA MSHINDI
Raila 22
mahamoud 19
richard 9,

RAUNDI YA TATU HAKUNA MSHINDI
Raila 20
mahamoud 23,
richard 5

RAUNDI YA 4 HAKUNA MSHINDI,
Raila 21
Mahamoud 25,
Richard amejiondoa baada ya round ya3

RAUNDI YA TANO HAKUNA MSHINDI,
raila 21
mahamoud 26 kuna nchi zimejiepusha kupiga kura

RAUNDI YA SITA HAKUNA MSHINDI,
Raila 22
Mahamuod 26

RAILA AMOLO ODINGA AMEJIONDO RASMSI KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA UENYEKITI WA AUC BAADA YA ROUND YA SITA.
:NoGodNo:

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20250216-162609.jpg
 
Back
Top Bottom