Kujipendekeza Kwa Boss wako ni Ufala

Godwishes

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2011
Posts
640
Reaction score
167
Kitu kinachonikera kazini kwangu,ninaona wafanyakazi wenzangu chini ya Mkurugenzi wanajikomba komba kwa boss.HIVI KWA NIN?nikutafta cheo?

Je huwezi pata bila kujipendekeza?Akijependekeza ujue anampa majungu,umbea, Why? Ni ulimbukeni wa Kazi naic. Sipendiii sipendii....
 
Wapo sana hao tena hasa watu walozoea kufanya kazi kwa wahindi
Wazungu wengi hawana kasumba ya kupokea porojo za hawa makuwadi wa kutaka vyeo na sifa.
Ukimgundua mpe ukwel wake bse kwake ni tabia so kama ni muungwana atajirekebisha
 
Hupendwi kama hukujipendekeza. Ufara.
 

si kwenu tu_hata kwetu wapo!
 
Matajiri wengi wa Kihindi na Kiarabu wana kawaida hii ya kupenda kusujudiwa na wafanyakazi wao. Ikiwa hujipendekezi kwao wanakuchukia na kukutafutia sababu. Pia, wana kawaida ya kupenda utamaduni wa majungu ili kuwagawa wafanyakazi. Kukosekana umoja miongoni mwa wafanyakazi ni salama kwao.
 
The Boss, kuna wangapi zaidi yangu wanaopendekeza niambie laaa sivyo nitafanya maamuzi mabaya!
 
Last edited by a moderator:
Hiyo ni cheap lakini wapo watu wanafanikiwa thru this, hao wanatafuta vyeo
 
Aisay huwa nawachukia sana tena sana...yani huwezi kuamini navyo wadharau.
 

Kuna mmoja wa Human Resource yeye anamvulia boss wake chupi kabisa na kazi hafanyi. Kero za rasilimali watu uncleared ni nyingi, no motivation ya kazi kabisa. Na hao tuwaweke kundi gani?
 
hii thread nitaiprint niiweke mahala panapoonekana ofisini .....ili ujumbe ufike
 
hiyo kitu sio hapa tu..hata ulaya nayo mara nyingi unakuta wafanyakazi wa kike ndio wanaojipendekeza kwa boss wao, wanawapa umbea kuhusu wafanyakazi wengine ili mradi awe karibu na boss ili siku boss anataka kupromote yeye anakua wa kwanza tabia chafu lakini ipo kila mahali sio bongo peke yake
 
hii thread nitaiprint niiweke mahala panapoonekana ofisini .....ili ujumbe ufike

Labda udelete comment yako, coz wata figure out who printed this na kujua ofisini kuna mtu anatumia ID ya Changeurways!
 
Hawajiamini tu, sijawahi kuwapenda watu wa aina hiyo na kila nilipofanya kazi nimewakuta, dawa yao ni kuwapasha ukweli tu utaona wanavyotoa macho..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…