Kujipendelea Muhimu

Lol we Mbu asa mbona unatuchanganya........ina maana hakijaeleweka bado au una maanisha nini??

...it's a journey myluv....wengine wanaridhika na " 'eye' love you,' " wengine wakishavishwa pete ndio weshaolewa, wengine mpaka wazae ndio kinaeleweka,....mimi tafsiri yangu kila siku inavyokucha ndio siku ya kuyaanzisha (mapenzi) upya.

Ndilo darasa nililo graduate (lessons learnt)
Kazi yabakia kwa 'mpokeaji.'

Mwj1, ...najiskia raha wengi wamevutiwa na mada hii.
It's nice making a difference maishani mwa watu.
Hakuna linaloshindikana. Nia tu...
 


teh tehe tehh , MR unavituko....duuh, lakini moskito anasema kweli, wakati fulaki kujipendelea kunalipa, mi nshajalibu... na inalipa ile kichizi
 

........Nimekupata mydia.
Naomba uniazime basi notisi zako za darasa hili!! nanakili tu halafu nakurudishia/au nitolee photocopy
 
Reactions: Mbu
i see Mbu nakupa Big up sana nimekosa neno la kuongezea ..
Barikiwa sana na endelea kufungua moyo:mwaaah:
 
Reactions: Mbu
mimi HAPA BJ, niandalie ntakuwa tour guide:mwaaah: wako

Haina shaka kabisa dear, I promise you it will be 'unforgettable tour' ...hamna kupiga mahesabu wala kufikiria mara mbili juu ya matumizi as long as tupo payroll ya mwezi utakaofuatia...ni mwendo wa kula, music, spa, massage, kuzunguka na fyokofyoko zote.

Halafu kukirejea makazini, full fresh mind kama vile tumeshuka toka mbinguni..Kweli hii idea nzuri sana..btw, nimefika Manyara national, ruaha, ngorongoro, mikumi, momela zote zilikuwa tour nzuri sana na memorable. Utalii wa nchini naupenda kweli..akili inapumzika ndani ya nchi yako kwa vivutio murua!!..
Mbu, nitakutafuta zaidi kwa information...I need more adventures🙂) Hongera kwa mpz mpy naona amekuchangamsha sana!!..
 

kukumbuka ilivokuwa haiswihi....sasa hivi nibora kutamani yajayo....LOL

MJ1 hiyo avatar niaje..
 

naam BJ, tumia pesa ikuzoeee

hivi na wewe umeoma mabadiliko kwa ndugu yetu Mbu eeh? LOL
 
Mbu hii threat ni nzuri sana na imewa remind watu wengi umuhimu wa retreat, insaidia kupunguza misongo ya mawazo na mumfanya mtu ajisikie fresh na mpya, Thanks for the remind mbu
 
Reactions: Mbu
Nyamayao, maty na MJ1 mmenifurahisha sana na mtoa one of the good lessons kwenye thread zenu, nice one, Nyamayao mama hayo mambo ni ya kawaida, jisaidie kuponyesha hicho kidonda alichokisababisha shemeji although kiukweli inachukua muda sana kupona
 
Nyamayao, maty na MJ1 mmenifurahisha sana na mmetoa one of the good lessons kwenye thread zenu, nice one, Nyamayao mama hayo mambo ni ya kawaida, jisaidie kuponyesha hicho kidonda alichokisababisha shemeji although kiukweli inachukua muda sana kupona
 

Ndio hapo inapoingia nyumba ndogo! Kule huulizwi maswali kama uko mahabusi kwa pesa yako mwenyewe hahahahah lol! Si anaenda kumchuna buzi!? Sasa maswali ya nini tena wakati buzi linataka kuchunwa? Wewe umeambiwa fungasha viwalo vyako vikali vikali ukale maraha kwa wiki nzima! unaanza kuleta za kuleta! Nyumba ndogo hakuna hayo ya kuwekwa kiti moto eti kwa kula maraha tena kwa pesa yako ya halali.

YouTube - ‪Edward Maya & Vika Jigulina - Stereo Love (Official Music Video)‬‏
 
Ehee?!! kumbe wanafaidi sana wenzetu.................................Hamna mtu anayetafuta nyumba ndogo humu jamani? Mkinionea mnijuze. Natanguliza aksante.




Mbu una mafumbo kama mwalimu wa kiswahili!!

Mhhhh! MJ1! Ya kweli hayo!? hahahahahah lol! Tanga kunani? Haya Mwaya kila la heri katika kutafuta maraha ya dunia na njemba ikinogewa inaweza kabisa kutangaza harusi hapa hapa jamvini 🙂

YouTube - ‪Mia Martina - Latin Moon‬‏
 
Kujipendelea muhimu sana, inakufanya uwe na confidence sometime! Mkuu MBU umekuja na thread ya ukweli, nadhani wewe ndie mrithi wa bujibuji au mwanakijiji!
 
Reactions: Mbu


.........Hahahaha BAK mwenzangu si watu humu naona wanantamanisha!! Mie pamoja na kujitahidi kutofuga gubu, sijawahiambiwa hata siku moja .Mamsap hebu leo tukajivinjari................ah. Ye kila siku ...nina safari za kikazi na cha ajabu safari zenyewe ni mwisho wa wiki, ukiuliza waambiwa katikati ya wiki kazi zinakuwa nyingi na hivyo ili zisilale ni policy ya ofc.tunasafiri weekend!! Na nkichunguza safari zooote hizo hakuna hata moja ya mkoa wa mbali! Ni chalinze, Pugu akizidi saaana Morogoro! Na huko ukipiga simu ni miziki na pombe ah.........

Nani asiyetaka raha duniani???

..................jamani nakumbushia tu ombi langu.................Aksanteni.
 
ndo maana mie nakula maisha na zake, zangu najenga kisirisiri ili akifulia nimsaidie.manake najua holidays hizi nikidengua zinakuja kwako (naenda kikazi tandahimba,hakuna network so simu nehii!)

</p>
<p>&nbsp;</p>
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…