MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
..........Kaizer...nimezaliwa upya!! na bahati nzuri kwangu safari hii nimezaliwa m-handsom.....oh sore beautifulkukumbuka ilivokuwa haiswihi....sasa hivi nibora kutamani yajayo....LOL
MJ1 hiyo avatar niaje..
Mhhhh! MJ1! Ya kweli hayo!? hahahahahah lol! Tanga kunani? Haya Mwaya kila la heri katika kutafuta maraha ya dunia na njemba ikinogewa inaweza kabisa kutangaza harusi hapa hapa jamvini 🙂
...LOL, ati akinogewa atakuja tangaza ndoa humu humu. Huko ni sawa na kujilipua maazee!
Siku mamsapu ameamua kununa na kukuanzishia thread humu (Ref Dena Amsi's) utatafuta pa kuuficha uso!
Acha tu wengine tufe na tai zetu shingoni!
Tanga maeneo ya Ras Kazone kuna kiota kizuri cha maraha ingawa hadhi yake ni Bed & Breakfast. Sijui bado
pana mng'aro wake kama ilivyokuwa miaka mitatu ilopita? Tatizo lake, Mchina (furniture) katawala kila eneo la
'hoteli' mpaka inakera, halafu huduma ya chakula utasubiri weeeeee....
Otherwise, si mbaya 'kujikuna unaweza' ukapandisha juu zaidi milimani kwa Mzee Mndolwa...- Lushoto Exec Lodge. Kwanza unapata fresh Air ya ukweli kabisa, na one of the best views tokea Irente View Point.
Tatizo, miezi (June - July) kuna pupwe si mchezo,...msije ishia kuongeza idadi ya watoto tu miezi tisa ijayo!
...msiniulizwe Contacts, link hii hapa; Tanzania — Lushoto Executive Lodge
Siku njema.
Mbu umenikumbusha mbali kweli yaani enzi hizo za Raskazone na Sahare zikiwa bado vigori mwe........... I wish ningekuwa mkubwa kipindi hicho ningefaidi..... Lakini kusema ukweli Utalii wa ndani ni muhimu aisee........ hebu nijipange!
Nina kiswali kidogo: sasa kwa mfano baba chanja wangu ambae kwa muda ameshazoea ku'treat' small houses, siku nikisema nim'treat' mie sitapata visingizio vya ....nina kazi nyingi, hiyo hela iweke tutafanyia kitu ingine.........au tuassume kuwa itakuwa supriz kwake??
Haahhhh Babu umeona eh!!Hahahaha...kweli nimeamini penzi ni kikohozi, kulificha haiwezekani.........Hakuna kukoma!
Babu ameanza kujifunza umbea LOL
Ngoja nisepe nisije kusutwa na wajukuu.
Haahhhh Babu umeona eh!!
Ila hapo ulipokuza hata sijakuelewa mwenzangu!!
Sijui nikusute?!..............Hivi mbeya anaweza msuta mbeya mwenzie??
Hapana, kwasababu:
.............Ya kale yamepita; tazama yamekuwa mapya........................
Mjukuu Mtiifu; 2011
Mbu anajua kung'ata, na akikung'ata hakuachi hivihivi, kama si kaugonjwa basi maumivu ya mng'ato!!!Mwee umfanyie hivi wife si ataanza kukulalamikia huko huko ohoo sijui mbona unachezea hela baba watoto si tungetumia kumalizia kibanda haha hahhah
Viva nyumba ndogo sie tunajua kutumia tuuuu:glasses-nerdy::glasses-nerdy::becky:
msinishambulie jamani:madgrin:
......Hahahaahha hii ndo imekushtua ?? Makubwa !!
Mwaka mpya wangu unaanza June......so ninazaliwa upya kwa kuyaacha yote machungu na matamu ya zamani........maisha lazima yasonge mbele
hahahaha We babu ngoja Mbu aje akujibu .............ila hapo mwanzo amesema na wake zenu!! Sasa Matesha hakwalifai na hata Mamake Mlezi...........kama si mkeo halali naye out.........ni nyumba ndogo hiyo bana.Thats my girl.....................Maisha ni lazima yasonge mbele............LAZIMA!
BTW hivi kujipendelea ni lazima nijipendelee na mama matesha? Nikijipendelea na Matesha inakuwaje? ...Au na mama mlezi wake?
hahahaha We babu ngoja Mbu aje akujibu .............ila hapo mwanzo amesema na wake zenu!! Sasa Matesha hakwalifai na hata Mamake Mlezi...........kama si mkeo halali naye out.........ni nyumba ndogo hiyo bana.
hivi bado tunajipendelea hadi leo, mayo nene!!
Babu anaamini, nyumba ndogo ndio kikolezo cha mapenzi kwa nyumba kubwa....unapata maujuzi huku, unayapeleka kwa wife.
Wife akikuboa, unapoteza mastress kwa nyumba ndogo and vise versa............maisha yanasonga mbele....maisha lazima yasonge mbele.
Ila kujipendelea na watoto nayo inalipa bana.....hebu amsha moskwito aje atupe darasa la jinsi ya kujivinjari na kina matesha wetu....
Mayo wanehivi bado tunajipendelea hadi leo, mayo nene!!
Jikoni????? wapiiii.......hivi babu so mawife wao kazi yao ni kufundishwa tu na nyie juu ya maujuzi mapya? Na je wao mkiwabore, stress wakamalizie wapi? jikoni?
.......hivi babu so mawife wao kazi yao ni kufundishwa tu na nyie juu ya maujuzi mapya? Na je wao mkiwabore, stress wakamalizie wapi? jikoni?
Hahahaha...kweli nimeamini penzi ni kikohozi, kulificha haiwezekani.........Hakuna kukoma!
Babu ameanza kujifunza umbea LOL
Ngoja nisepe nisije kusutwa na wajukuu.
........hahahaaaaaaaaaaaa, MANDHARI!!!.................Hii mada kusema ukweli imekonga roho yangu......na mnavyopenda mandhari nzuri!!
Jikoni????? wapiiii
Utajuaje? Labda nao wana vigaloni..............!