Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inawezekana ikawa ni miongoni mwa sababuBasi kuna watu utakuta wananukua kama majini vile,au lbda wanakata shombo ya kijasho?
Kumbe sababu unaijuaBasi kuna watu utakuta wananukua kama majini vile,au lbda wanakata shombo ya kijasho?
Habarini za Ijumaa wana mazoezi na wadau wote,
Eti kujipulizia unyunyu muda wa kwenda mazoezini huwa kuna muingiliano na performance nzuri kwenye mazoezi?
Kwaiyo wazanaki na wagogo ndo wana harufu kali ya jikwapa?[emoji1787][emoji1787]Sio perfume sio deodorant ni antiperspirant. Ni skincare kwa ajili ya mazoezi ila inanukia vizuri sana. Mfano mimi natumia Gillette antiperspirant, unaweza ukatoka mazoezi ukaingia kwenye gari na usiache harufu kali ya kizanaki au wagogo. Kuna gari unaingia au nyumba inanuka nguvu sababu anaishi mtu wa mazoezi.