Kujisaidia haja ndogo yenye rangi ya njano.....

Unga wa Kitarasa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
398
Reaction score
101
habari wadau wa jf ebana me tatizo langu nikujisaidia mkojo wenye rangi ya njano yaani mpaka some tym inaniboa embu fanyeni kuni help bhasi kwa hili plzz ladies en gentlemen
 
Mi sio mtaalam, ila najua ni ukosefu wa maji.
Wataalam wanashauri unywe kwa uchache lita 3 za maji kwa siku. Sasa hao ni wataalam wa ulaya ambako hamna joto. Kama uko bongo nafikiri inabidi unywe mengi zaidi.
Kwa kuanza jaribu kugugumia lita nzima ya maji first thing in the morning
 

ushauri mzuri lkn wabongo wanaweza?
 
mwili unakwmbia kuwa umekosa maji
 
kunywa maji mkuu wala hakuna kinine you are dehydrated.
 
amber colour (njano) ni rangi ya kawaida katika mkojo. kama kungekuwa na damu au mwekundu tungelisema unatatizo. hiyo ni rangi ya kawaida ya mkojo. usihofu!
 
mi nahisi utakuwa na jaundice ambayo inaweza sababishwa na matatizo kwenye ini, nakushauri uende ukafanye liver function test in the time being piga miwa kwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…