BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Wanawake wachache sana amba ukijishusha
na kuomba msamaha hata kama kosa ni lake ,mambo yanakwisha na kuwa mazuri...
Wanawake walio wengi ukijishusha na kuomba msamaha.....
1.anakupanda kichwani na kuongeza ujeuri
2.anahifadhi hilo kosa,na kila siku utakumbushwa kuwa
alikusamehe kosa siku fulani.....
I prefer kuomba msamaha kwa vitendo....
Zawadi hivi,au out ya nguvu......
Mmh then one of the couple should see more by his head than feelings/emotions. wote mkiwa juu, it is the end of the road...
Mimi huwa najishusha....
kwa maana hiyo mie ni mwanamke wa kipekee, napenda nikikosewa tuongee tuombane msamaha yaishe na huwa sikumbushi kabisa makosa yaliyopita, cause na mie huwa nakosea na nikisamehewa sipendi kabisa kukumbushiwa yalopitaWanawake wachache sana amba ukijishusha
na kuomba msamaha hata kama kosa ni lake ,mambo yanakwisha na kuwa mazuri...
Wanawake walio wengi ukijishusha na kuomba msamaha.....
1.anakupanda kichwani na kuongeza ujeuri
2.anahifadhi hilo kosa,na kila siku utakumbushwa kuwa
alikusamehe kosa siku fulani.....
I prefer kuomba msamaha kwa vitendo....
Zawadi hivi,au out ya nguvu......
Yah,ni jambo la maana kujishusha hasa pale utakapojua kuwa umekosa,lakini pia hata kama hujakosa inapotokea misunderstanding ni vizuri ukawa mtulivu na kutatua tatizo,ndoa yenu itakuwa njema,kutofautiana kwa binadam ni kawaida na msichukulie hilo kama tatizo labda iwe kwa kila siku au kwenye kila jambo!
As for me, zawadi and outing do not matter in this case! zawadi na outing zina maana gani kama hatuelewani?
I prefer to talk about it and kiishe.... zawadi and outing baadaye!
Mhhh nimesahau kama mimi hua najishusha au najiweka juu kama mlima Sayuni!Ngoja nikumbuke mara ya mwisho ilikuaje!!
Ohhh owkey..last time nilituliza makeke kwa faida binafsi lakini.Ila mara nyingi hua napenda kuongea yaishe...sipendi viporo maana hua naendelea kukasirika kwahiyo nikiona vipi nashuka chini kidogo kumpa mwenzangu unafuu wa kujieleza !
Mtu kujishusha ni muhimu sana maana ikiwa wote mnajiweka juu tu amani haipatilabi kirahisi na kuachana itakua ni rahisi kama kuagana usiku mwema!Wale wasioweza kufanya hivi inabidi wajifunze!
kwa maana hiyo mie ni mwanamke wa kipekee, napenda nikikosewa tuongee tuombane msamaha yaishe na huwa sikumbushi kabisa makosa yaliyopita, cause na mie huwa nakosea na nikisamehewa sipendi kabisa kukumbushiwa yalopita
Wanawake wachache sana amba ukijishusha
na kuomba msamaha hata kama kosa ni lake ,mambo yanakwisha na kuwa mazuri...
Wanawake walio wengi ukijishusha na kuomba msamaha.....
1.anakupanda kichwani na kuongeza ujeuri
2.anahifadhi hilo kosa,na kila siku utakumbushwa kuwa
alikusamehe kosa siku fulani.....
I prefer kuomba msamaha kwa vitendo....
Zawadi hivi,au out ya nguvu......
Wanawake wachache sana amba ukijishusha
na kuomba msamaha hata kama kosa ni lake ,mambo yanakwisha na kuwa mazuri...
Wanawake walio wengi ukijishusha na kuomba msamaha.....
1.anakupanda kichwani na kuongeza ujeuri
2.anahifadhi hilo kosa,na kila siku utakumbushwa kuwa
alikusamehe kosa siku fulani.....
I prefer kuomba msamaha kwa vitendo....
Zawadi hivi,au out ya nguvu......
kwa maana hiyo mie ni mwanamke wa kipekee, napenda nikikosewa tuongee tuombane msamaha yaishe na huwa sikumbushi kabisa makosa yaliyopita, cause na mie huwa nakosea na nikisamehewa sipendi kabisa kukumbushiwa yalopita
interesting eh.i usually think wanaume ndo wagumu kujishusha na kuwa kujishusha ni kwa wanawake tu!! Thanx boss another day, another knowledge
ningeomba ufafanuzi kujishusha ndo kukoje? Kuna maanisha
1. Uombe msamaha hata kama kosa si lako?
2. Ukae kimya -usijibizane naye pale ambapo amepanda
3. Kumjibu kwa upole ukijaribu kumwelewesha??
1. Kuomba msamaha hata kama kosa si lako inawezakuwa njia nzuri ya kumaliza hacra zake kwa wakati huo. But hii inatakiwa iwe na follow-up plan yaani utafute siku mko vizuri uclear whatever mlichokuwa mnagombana (hapa nitaambiwa una-bank makosa) potelea mbali lakini ni vema mkawekana sawa kwani haichelewi kuwa kawaida - yaani akajua akifanya makosa utakiri wewe na kisha imetoka. Unamzoesha
2. Kukaa kimya pale anapopandisha - inategemea na mtu, mwingine anawezakukuchukulia una kiburi na dharau ndio maana umemgeuza radio- anaongea we unasikiliza. Mwingine anawezakukuelewa
3. Kumjibu kwa upole- akiwa mwelewa atakusikiliza but kama kapandisha jazba sidhani kama itawork. But mwingine anawezakuona unamjibu kwa kuwa unajeuri.
So nafikiri inategemea situation yenyewe but always ya kwanza (iwe na follow-up) husave more trouble
Karibu The Bossngoja nije pm lol
Looo mie sehemu hizo huwa sirembi, napiga mzigo kwanza nikimaliza kama kununa niendelee kununaKibaya zaidi wanawake wengi mnagombana asubuhi
mnayamaliza....
Wewe unafikiri yameisha......
Sasa pale jioni unapotaka game......ndo yanaaaanza upyaaaaaaaaaa....
Talaka mnatafutaga wenyewe kwa kweli